Home  |  Shelly  |  Let's Hope:  Helping Others with Purpose and Essentials
Swahili Kids Ministries  |  Help Us  |  Contact Links  |  TUFUNDISHE Kigazeti


TUFUNDISHE Kigazeti

Nani Alisema Haya?

 

Jina la Mchezo: “NANI ALISEMA HAYA?

Timu itakayo jibu kwa usahihi, watu waliyosema maneno hayo zaidi ya timu nyingine ndiyo washindi.

1. “Njooni kwangu nyote msumbukao na kulemewa na mizigo.” ___________

2. “Nimepiga vita vilivyo vizuri.” ____________________________________

3. “Waache watu wangu waende.” ___________________________________

4. “Mungu alifanya hivi kwa nia njema.” ______________________________

5. “Inabidi yeye azidi, mimi nipungue.” ______________________________

6. “Wewe ndiye Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.” ___________________

7. “Mimi ndimi mkate wa uzimu.” ___________________________________

8. “Bwana ndiye mchungaji wangu.” _________________________________

9. “Inuka jitwike godoro lako, uende.” _______________________________

10. “Mimi na nyumba yangu tutamtumikia Bwana.” ______________________

11. “Vua viatu vyako.” _____________________________________________

12. “Nifuateni nami nitwafanya kuwa wavuvi wa watu.” __________________

13. “Eti hivi ndivyo alivyosema Mungu, kuwa msile matunda ya mti wowote?”_

14. “Sema Bwana maana mtumishi wako anasikia.” ______________________

15. “Maana hivi ni vita vya Bwana, na atawatia ninyi mikononi mwetu.” _____

TUFUNDISHE Feb/Mar 2008 Vol. 1 No. 5

Back to index

Majibu: 1-Yesu, 2-Paulo, 3-Musa, 4-Yusufu, 5-Yohana Mbatizaji, 6-Petro, 7-Yesu, 8-Daudi,
9-Yesu, 10-Yoshua, 11-Mungu, 12-Yesu, 13-Shetani, 14-Samweli au Eli, 15-Daud

 
Animated flag by
 
www.3DFlags.com
Web Editor - Don Tarvin
Updated 16 Aug 2011