|
Saulo Anawapiga Watu Wa Mungu

Matendo 9:5-6
“Akasema, U nani wewe, Bwana? Naye akasema, Mimi
ndimi Yesu unayeniudhi wewe. Lakini simama, uingie
mjini, nawe utaambiwa yakupasayo kutenda.”

Picha Kwa Watoto Kutoka Agano Jipya: Somo 68
Kanisa la Kibatisti la Biblia |