Petro Anahubiri Habari Za Yesu


Matendo 2:38
“Petro akawaambia, Tubuni mkabatizwe kila mmoja kwa
jina lake Yesu Kristo,
mpate ondoleo la dhambi
zenu, nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu.”
 


Picha Kwa Watoto Kutoka Agano Jipya: Somo 61
Kanisa la Kibatisti la Biblia