|
Yuda Anamsaliti Yesu
Waebrania 12:2
“Tukimtazama Yesu,
mwenye kuanzisha na mwenye kutimiza imani yetu;
ambaye kwa ajili ya furaha iliyowekwa mbele yake
aliustahimili msalaba na kuidharau aibu, naye ameketi
mkono wa kuume wa kiti cha enzi cha Mungu.”


Picha Kwa Watoto Kutoka Agano Jipya: Somo 48
Kanisa la Kibatisti la Biblia |