|
Yesu Anaomba Bustanini

Waebrania 12:2
“Tukimtazama Yesu,
mwenye kuanzisha na mwenye kutimiza imani yetu; ambaye kwa ajili ya
furaha iliyowekwa mbele yake
aliustahimili msalaba na kuidharau aibu, naye ameketi mkono wa kuume
wa kiti cha enzi cha Mungu.”

Picha Kwa Watoto Kutoka Agano Jipya: Somo 47
Kanisa la Kibatisti la Biblia |