|
Yesu Anafundisha Habari Za Mbinguni

Yohana 14:2-3
“Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama sivyo,
ningaliwaambia;
maana naenda kuwaandalia mahali.
Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali,
nitakuja tena niwakaribishe kwangu;
ili nilipo mimi, nanyi mwepo.”

Picha Kwa Watoto Kutoka Agano Jipya: Somo 46
Kanisa la Kibatisti la Biblia |