|
Mfano Wa Karamu
Waefeso 2:8-9
“Kwa maana mmeokolewa kwa neema,
kwa njia ya imani;
ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu,
ni kipawa cha Mungu; wala si kwa matendo,
mtu awaye yote asije akajisifu.”


Picha Kwa Watoto Kutoka Agano Jipya: Somo 43
Kanisa la Kibatisti la Biblia |