Yesu Anaingia Yerusalemu

Mathayo 21:9
“Na makutano waliotangulia, na wale waliofuata, wakapaza sauti, wakisema,
 Hosana, Mwana wa Daudi; ndiye mbarikiwa, yeye ajaye kwa jina la Bwana; Hosana juu mbinguni.”





Picha Kwa Watoto Kutoka Agano Jipya: Somo 41
Kanisa la Kibatisti la Biblia