|
Kijana Wa Mwenye Shamba Aliyeuawa

Mathayo 21:42
“Yesu akawaambia, Hamkupata kusoma katika
maandiko, Jiwe walilokikataa waashi,
Hilo limekuwa jiwe kuu la pembeni;
Neno hili limetoka kwa Bwana, Nalo ni ajabu machoni petu?”

Picha Kwa Watoto Kutoka Agano Jipya: Somo 39
Kanisa la Kibatisti la Biblia |