Nguo Za Yesu Zinang’aa
Mathayo 17:5
“Alipokuwa katika kusema, tazama,
wingu jeupe likawatia uvuli; na tazama,
sauti ikatoka katika lile wingu, ikasema,
Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu,
ninayependezwa naye; msikieni yeye.”


Picha Kwa Watoto Kutoka Agano Jipya: Somo 30
Kanisa la Kibatisti la Biblia