|
Kijana Anampa Yesu
Chakula Chake
Luka 6:38
“Wapeni watu vitu, nanyi mtapewa;
kipimo cha kujaa na kushindiliwa,
na kusukwa-sukwa hata kumwagika,
ndicho watu watakachowapa vifuani mwenu.
Kwa kuwa kipimo kile kile mpimacho ndicho mtakachopimiwa.”


Picha Kwa Watoto Kutoka Agano Jipya: Somo 28
Kanisa la Kibatisti la Biblia |