Mtoto Anapona Yohana 4:53 “Basi babaye akafahamu ya kuwa ni saa ile ile aliyoambiwa na Yesu, Mwanao yu hai. Akaamini yeye na wote wa nyumbani mwake.” Picha Kwa Watoto Kutoka Agano Jipya: Somo 15 Kanisa la Kibatisti la Biblia